Ahmad ibn Tulun, gavana wa Abbas wa Misri kutoka 868 hadi 884 Miladia aliamuru kujengwa kwa msikiti huo, na mradi ulianza mnamo 876 Miladia
Msikiti huu umejengwa katia ua wazi na hivyo kuruhusu mwanga kuingia na unaashiria mitindo ya kale ya usanifu mjengo Misri.