IQNA

Kituo cha Kiislamu cha Utamaduni mjini New York + Video

21:36 - February 16, 2021
Habari ID: 3473656
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Utamaduni cha New York kinajumuisha pia msikiti na kipo katika mtaa wa Harlem, Manhattan mjini New York nchini Marekani.

Kituo hicho kilikuwa cha kwanza cha aina yake ambacho kilijengwa kwa ajili ya jamii inayoongozeka ya Waislamu mjini humo.

Usanifu majengo wake umeinga usanifu majengo wa Kiislamu katika zama hizi.

Kituo hicho kina msikiti wenye mnara na kubaa. Ujenzi wake ulianza mwaka 1987 na kukamilika mwaka 1991 na gharama jumla ya mradi huo ilikuwa ni dola milioni 14.  Ukumbi wa Sala wa msikiti huo unaweza kubeba waumini 1,000.

مسجد و مرکز اسلامی نیویورک: از ایده در دهه شصت تا ساخت در دهه نود+ فیلم

3953899

Kishikizo: marekani waislamu
captcha