TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Sayyid Said alitembelea Iran mwaka 2007 na kusema Qur'ani Tukufu katika mji wa Zanjan.
Katika kikao alichohudhuria aliweza kusoma Surah Al-Qasas na Surah An-Nasr.
Maqari wengine bingwa wa Misir, Sheikh Raqib Mustafa Qalwash na Sheikh Abolainain Shoaisha walihudhuria pia kikao hicho cha kujikurubisha na Qur'ani Tukufu.