IQNA

Wafanyaziara wakitembea kwa miguu kuelekea Karbala

Makumi ya maelefu ya waombolezaji, aghalabu wakiwa ni Waislamu wa madhehebu ya Shia, kutoka Iraq na mataifa mengine duniani wanaelekea Karbala kwa ajili...

Hamas: Taifa la Palestina limeazimia kukusanya nguvu zake kwa ajili ya ukombozi

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hii leo mapambano na muqawama ni upanga na...

Kanisa lililojengwa miaka 178 iliyopita Canada labadilishwa kuwa Msikiti

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa jamii ya Wauyghur Waturuki wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada wamenunua jengo la kale ambalo lilikuwa Kanisa na kuligeuza...

Waislamu Oman wapongeza kuanza tena Sala ya Ijumaa misikitini

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Oman wamepongeza hatua ya serikali kuruhusu tena Sala ya Ijumaa misikitini baada ya kufungwa kwa muda wa miezi 18 kutokana...
Habari Maalumu
Waziri Mkuu wa Pakistan: Sote tukabiliane na chuki dhidi ya Uislamu
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Waziri Mkuu wa Pakistan: Sote tukabiliane na chuki dhidi ya Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amesema, kuna udharura wa kukabiliana na uenezaji chuki dhidi ya Uislamu kieneo na kimataifa.
25 Sep 2021, 12:50
Wanajeshi katili wa Israel wamuua shahidi Mpalestina

Wanajeshi katili wa Israel wamuua shahidi Mpalestina

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel wamemuua Mpalestina aliyekuwa katika maandamani ya amani ya kupinda ujenzi wa vitongoji vya walowezi...
25 Sep 2021, 13:05
Papa aombe radhi kufuatia jinai za Kanisa Katoliki Canada
Wenyeji asili wa Canada

Papa aombe radhi kufuatia jinai za Kanisa Katoliki Canada

TEHRAN (IQNA)- Wenyeji asili wa Canada wanasisitiza kuwa Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki anapaswa kuomba radhi kufuatia ugunduliwa makaburi ya...
25 Sep 2021, 12:01
Waliohifadhi  Qur’ani Ghaza washiriki matembezi

Waliohifadhi Qur’ani Ghaza washiriki matembezi

TEHRAN (IQNA)- Vijana Wapalestina wapatao 140 ambao wamehifadhi Qur’ani Tukufu wameshiriki katika matembezi huko katika Ukanda wa Ghaza.
25 Sep 2021, 10:51
Mafunzo ya kuokoa maisha katika misikiti Pakistan

Mafunzo ya kuokoa maisha katika misikiti Pakistan

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Madaktari wa Kiislamu Pakistan (PIMA) inapanga kuandaa warsha za kuokoa maisha kwa wananchi katika misikiti kote Pakistan.
25 Sep 2021, 11:28
Sheikh Sabri atahadharisha kuhusu njama mpya za Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa

Sheikh Sabri atahadharisha kuhusu njama mpya za Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) amesisitiza kuwa, hatua ya Wazayuni ya kung'ang'a kuingia kinyume cha sheria...
24 Sep 2021, 22:33
Maendeleo ya kuridhisha katika mazungumzo ya Iran na Saudi Arabia
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran

Maendeleo ya kuridhisha katika mazungumzo ya Iran na Saudi Arabia

TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa katika miezi michache iliyopita kumefanyika mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Iran...
24 Sep 2021, 22:48
Haram ya Imam Hussein AS wakati wa kukaribia Siku ya ‘Arubaini’

Haram ya Imam Hussein AS wakati wa kukaribia Siku ya ‘Arubaini’

TEHRAN (IQNA)- Makumi ya maelefu ya waombolezaji, aghalabu wakiwa ni Waislamu wa madhehebu ya Shia, kutoka Iraq na mataifa mengine duniani wamefika au...
24 Sep 2021, 13:03
Wito wa kususia shirika la Puma ambalo linafadhili ligi ya Israel

Wito wa kususia shirika la Puma ambalo linafadhili ligi ya Israel

TEHRAN (IQNA)- Maandamano yanafanyika maeneo mbali mbali duniani kulitaka shirika la Ujerumani la mavazi la michezo la Puma kusitisha uungaji mkono...
24 Sep 2021, 14:41
Kituo cha Utamaduni wa Kiislamu kufunguliwa Turin, Italia

Kituo cha Utamaduni wa Kiislamu kufunguliwa Turin, Italia

TEHRAN (IQNA)- Eneo la kiviwanda la Turin, ambao ni kati ya miji mikubwa Italia, hivi karibuni litakua na fahari ya kupata kituo kikubwa cha utamaduni...
23 Sep 2021, 22:09
Msikiti mkongwe zaidi India wafunguliwa tena

Msikiti mkongwe zaidi India wafunguliwa tena

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kwanza na mkongwe zaidi nchini India unatazamiwa kufunguliwa tena baada ya kurejea katika hadhi na adhama yake ya awali.
23 Sep 2021, 21:46
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Croatia yaanza Zagreb

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Croatia yaanza Zagreb

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 27 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Croatia imeanza Jumatano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Zagreb.
23 Sep 2021, 21:07
Misikiti ya Oman yaanza tena Sala ya Ijumaa

Misikiti ya Oman yaanza tena Sala ya Ijumaa

TEHRAN (IQNA)- Misikiti ya Oman imeidhinishwa kuanza tena Sala za Ijumaa baada ya kufungwa kwa muda wa mwaka moja na nusu kutokana na janga la maambukizi...
23 Sep 2021, 20:45
Wayemen washiriki maandamano makubwa ya kuadhimisha mapinduzi yao

Wayemen washiriki maandamano makubwa ya kuadhimisha mapinduzi yao

TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya wananchi wa Yemen Jumanne wamefanya maandamano makubwa katika mkoa wa Saada wa kaskazini wa nchi hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho...
22 Sep 2021, 12:56
Utata kuhusu pendekezo la kufuta somo la Qur’ani katika vyuo vikuu vya Saudi Arabia

Utata kuhusu pendekezo la kufuta somo la Qur’ani katika vyuo vikuu vya Saudi Arabia

TEHRAN (IQNA)- Ufalme wa Saudi Arabia umeandaa uchunguzi wa maoni kuhusu kupiga marufuku somo la Qur’ani katika vyuo vikuu vya nchi hiyo jambo ambalo limeibua...
22 Sep 2021, 13:31
Sera za ubeberu za Marekani na waitifake wake zimefali, hazina itibari kimataifa
Rais Raisi wa Iran katika hotuba kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Sera za ubeberu za Marekani na waitifake wake zimefali, hazina itibari kimataifa

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za Marekani na washirika wake za kuitwisha dunia ubeberu wao zimefeli vibaya...
22 Sep 2021, 12:24
Picha‎ - Filamu‎