Habari Maalumu
IQNA – Katika kipindi cha kuelekea kuanza kwa upigaji kura wa mapema, mgombea wa umeya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, ametetea imani yake ya Kiislamu...
26 Oct 2025, 09:31
Ushirikiano katika Qur’ani Tukufu/5
IQNA – Kwa mujibu wa mtazamo wa Kiislamu, binadamu wote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na mali yote ni ya Mwenyezi Mungu. Hivyo basi, mahitaji ya wale wasiojiweza...
25 Oct 2025, 15:48
IQNA – Usajili umefunguliwa rasmi kwa toleo la 21 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Algeria, mojawapo ya mashindano yenye heshima kubwa...
25 Oct 2025, 15:29
IQNA – Maktaba mbalimbali nchini Tunisia, zikiwemo zile za vyuo vikuu vya Zaytouna na Kairouan pamoja na maktaba binafsi, zimehifadhi maelfu ya maandishi...
25 Oct 2025, 15:19
IQNA – Washiriki wa kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran waliendelea kuonesha umahiri wao siku ya tatu...
25 Oct 2025, 14:41
IQNA – Polisi nchini New Zealand wanafanya uchunguzi kuhusu tishio la bomu lililolenga Msikiti wa Kilbirnie uliopo Wellington, hali iliyosababisha kusitishwa...
25 Oct 2025, 14:38
IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amemtaja Allamah Mirza Muhammad Hussain Naeini (Rehmatullah alayh) kama...
24 Oct 2025, 14:48
IQNA – Kwa kuboresha mazingira ya upangaji na uamuzi, na kuongeza ushiriki wa washiriki wenye hamasa, mashindano ya kuhifadhi Qur’ani ya Australia yamegeuka...
24 Oct 2025, 14:56
IQNA – Waziri wa Mambo ya Waqf wa Misri ametoa pongezi zake kwa kuenziwa hivi karibuni kwa Qari maarufu Sheikh Abdul Fattah Taruti wakati wa mashindano...
24 Oct 2025, 14:52
IQNA – Mamlaka za Palestina zimeonya kuwa shughuli za uchimbaji zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na Msikiti wa Al-Aqsa na katika Mji...
24 Oct 2025, 14:39
IQNA – Serikali ya Ufilipino imezindua mpango mpya wa kukuza nafasi ya taifa hilo la Kusini Mashariki mwa Asia katika soko la kimataifa la utalii 'Halal',...
23 Oct 2025, 16:49
IQNA – Katika tukio la kihistoria lililopeperushwa kupitia kipindi cha televisheni cha Ahl Masr nchini Misri, tafsiri ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa...
23 Oct 2025, 16:39
IQNA – Mtandao wa Mazungumzo ya Kiislamu nchini Norway (Islamic Dialogue Network) umezindua tovuti ya kwanza ya kitaifa ya kupambana na chuki dhidi ya...
23 Oct 2025, 16:33
IQNA – Mwanazuoni mwenye msimamo wa kihafidhina na aliye katika miaka ya tisini ameteuliwa kuwa kiongozi mkuu wa kidini au Mufti Mkuu nchini Saudi Arabia,...
23 Oct 2025, 16:55
IQNA- Kufuatia ongezeko kubwa la uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu nchini Uingereza, serikali inatarajiwa kutangaza ufafanuzi mpya wa neno “'Chuki...
23 Oct 2025, 16:21
IQNA – Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limesema kuwa kiwango cha chakula kinachoingia Gaza bado kiko chini sana ya lengo la tani 2,000...
22 Oct 2025, 17:00