Kitendo cha kinyama cha Wazayuni wa Israel cha kumchoma moto hadi kufa mtoto mchanga wa Palestina mwenye umri wa miezi 18 kimeendelea kulaaniwa kote duniani.
2015 Aug 01 , 18:45
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesisitiza udharura wa kudumishwa umoja wa Waislamu kwa ajili ya kutatua matatizo ya Mashariki ya Kati.
2015 Jul 30 , 14:26
Kongamano la Kimataifa lenye anuani ya "Uislamu na Amani" limefanyika wiki hii katika mji mkuu wa Senegal, Dhakar.
2015 Jul 30 , 12:23
Sayyid Hassan Nasrallah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuutisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kati ya mafanikio makubywa ya harakati hiyo.
2015 Jul 28 , 22:47
Mufti Mkuu wa Palestina ametoa wito wa kuhukumiwa wakuu wa wutawala wa Kizayuni wa Israel katika duru za kimataifa.
2015 Jul 27 , 16:18
Vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeuvamia Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu. Kufuatia hujuma hiyo ya mapema Jumapili asubuhi, kumeibuka mapigano baina ya polisi ya Israel na Waislamu waliokuwa ndani ya msikiti huo mtakatifu.
2015 Jul 26 , 16:08
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, nchi ambazo ziliwapeleka magaidi nchini Syria ili wakauangushe utawala na muqawama wa nchi hiyo hivi sasa zinaeelekea kushindwa.
2015 Jul 26 , 14:51
Mji mkuu wa Syria , Damascus ni ulikuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la 'Vyombo vya Habari na Vita Dhidi ya Ugaidi.'
2015 Jul 25 , 11:41
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema mwamko wa Waislamu ni nukta muhimu katika mustakabali wa Masharik ya Kati.
2015 Jul 23 , 12:41
Watu wasiopungua watano wamepoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa katika hujuma ya bomu karibu na Msikiti wa Mashia katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
2015 Jul 21 , 17:39
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano ni tiba ya matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
2015 Jul 18 , 23:58
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe viongozi wa nchi za Kiislamu akimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
2015 Jul 18 , 19:08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema taifa la Iran litaendelea kuwaunga mkono marafiki zake katika eneo la Mashariki ya Kati kama vile wananchi wa mataifa ya Yemen, Palestina, Bahrain, Iraq, Syria na Lebanon.
2015 Jul 18 , 18:57