Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
2015 Aug 07 , 17:43
Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema, kuwakufurisha Waislamu wa madhehebu ya Shia kunakofanyika kupitia kanali za televisheni za satalaiti ni kitendo kisichokubalika.
2015 Aug 07 , 17:20
Kasisi mmoja nchini Nigeria ametamka shahada mbili na kuwa mfuasi wa dini Tukufu ya Kiislamu na baada ya hapo akaligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
2015 Aug 07 , 17:03
Mshtakiwa muhimu zaidi wa shambulio la kigaidi ndani ya msikiti mmoja nchini Kuwait amekiri kuwa ni mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
2015 Aug 06 , 15:47
Waislamu nchini Ethiopia wamelaani uamuzi wa mahakama moja ya nchi hiyo ya kuwafunga jela miaka 22 wanaharakati 18 wa Kiislamu kwa tuhuma eti za ugaidi.
2015 Aug 05 , 19:24
Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Kiislamu
Msomi wa Kiislamu Uingereza Dkt. Kamal Helbawi amesema wito wa Chuo Kikuu cha Al Azhar Misri wa kutaka kufanyike kikao cha pamoja baina ya maulamaa wa Kishia na Kisuni ni fursa nzuri ya kuondoa fitina zilizopo katika jamii za Waislamu duniani.
2015 Aug 05 , 05:52
Kampeni ya kimataifa imeanzishwa kwa lengo la kuushinikikza utawala wa Saudi Arabia kumuachilia huru msomi wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia Sheikh Nimr al-Nimr.
2015 Aug 04 , 15:02
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen Abdul-Malik al-Houthi amesema adui wa wananchi wa Yemen mwishowe atashindwa tu. Aidha ameongeza kuwa utawala haramu wa Israel unafaidika na hujuma ya Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
2015 Aug 03 , 09:53
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameandamana katika nchi 20 duniani wakitaka Saudi Arabia imuachilie huru msomi wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia Sheikh Nimr al-Nimr.
2015 Aug 02 , 19:19
Mufti Mkuu wa Misri amelaani vikali kitendo walowezi Waisraeli kumuua kinyama mtoto mdogo wa Palestina siku ya Ijumaa.
2015 Aug 02 , 19:07
Machafuko yameibuka leo Jumapili katika Msikiti wa Al Aqsa, eneo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu, mjini Quds (Jerusalem) siku mbili tu baada ya mtoto mchanga Mpalestina kuchomwa moto na kuuawa na walowezi wa Kiyahudi.
2015 Aug 02 , 18:47
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) wamelazimika kuritadi na kuacha dini yao kutokana na kutishiwa maisha.
2015 Aug 01 , 19:19
Kitendo cha kinyama cha Wazayuni wa Israel cha kumchoma moto hadi kufa mtoto mchanga wa Palestina mwenye umri wa miezi 18 kimeendelea kulaaniwa kote duniani.
2015 Aug 01 , 18:45