Wanazuoni wa Kituo cha Kiislamu kinachofungamana na chuo cha kidini cha al-Azhar cha nchini Misri wametoa fatuwa wakiharamisha ufungaji ndoa na vibaraka pamoja na watu waliokuwa karibu na utawala wa dikteta Hosni Mubarak kutokana na ufisadi wa kisiasa na vilevile hiana ya watu hao dhidi ya maslahi ya kitaifa ya Misri.
2011 Oct 24 , 15:31
Katibu Mkuu wa Harakati ya al Nahdha al Islami ya Tunisia ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kufanyika udanganyifu katika uchaguzi wa leo wa Baraza la Waasisi.
2011 Oct 23 , 15:03
Kikao cha kwanza cha kusikiliza kesi inayoikabili Televisheni ya Nasma ya Tunisia kimepangwa kufanyika mwezi ujao wa Novemba.
2011 Oct 23 , 13:35
Semina ya Ghadir imepangwa kufanyika tarehe 13 Novemba katika Kituo cha Kiislamu nchini Uingereza.
2011 Oct 22 , 22:22
Sherehe za kuzinduliwa mpango wa ujenzi wa msikiti mkubwa wa tatu duniani zilifanyika siku ya Jumanne nchini Algeria ambapo mawaziri na rais wa nchi hiyo Abdul Aziz Bouteflika walihudhuria.
2011 Oct 22 , 01:26
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa sababu inayoifanya Marekani ilichukie na kulikasirikia taifa la Iran ni taathira za Iran ya Kiislamu kwa Waislamu na kufeli siasa za Marekani hususan katika eneo la Mashariki ya Kati.
2011 Oct 20 , 05:24
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha zoezi la ubadilishanaji mateka kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.
2011 Oct 19 , 18:40
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa juhudi zinazofanywa na vyombo vya habari vya mfumo wa udikteta wa kimataifa kwa ajili ya kukuza na kurembesha vigezo potofu zimetolewa katika malengo hatari ya protokali za Wazayuni.
2011 Oct 18 , 22:02
Katika hali ambayo viongozi wa Saudi Arabia wanaonyesha msimamo laini na wa upole katika vyombo vya habari kuhusu madhehebu nyingine za Kiislamu, viongozi hao hao wanafanya propaganda kubwa za kueneza fikra za Kiwahabi katika nchi mbalimbali za Kiafrika.
2011 Oct 16 , 14:42
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kukana utambulisho wa Kiislamu wa taifa shujaa la Iran na kutaka kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ndilo lengo muhimu zaidi la hujuma ya siku zote ya kambi ya ubeberu.
2011 Oct 15 , 22:27
Huku maandamano ya wananchi wa Yemen dhidi ya utawala wa kidikteta wa Rais Ali Abdullah Saleh yakishadidi, maafisa usalama wa nchi hiyo wameua waandamanaji 12 na kujeruhi makumi ya wengine katika mji mkuu wa nchi hiyo, Sana'a.
2011 Oct 15 , 19:37
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Washington nchini Marekani amechunguza na kujadili mwenendo wa harakati ya kuteka nyara Wall Street na taathira zake katika uchaguzi ujao wa rais na kusisitiza kuwa hapana shaka kuwa harakati hii itakuwa na taathira katika kubadili hali ya sasa nchini Marekani.
2011 Oct 15 , 14:47
Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matukio ya eneo la Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika ni ushahidi wa wazi wa kushindwa siasa za mabeberu wa dunia.
2011 Oct 12 , 20:48