Kongamano la kumuenzi mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sayyid Muhammad Hussein Fadhlullah ambaye alikuwa miongoni mwa maraji wakubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia limepangwa kufanyika kesho mjini Karach, Pakistan chini ya usimamizi wa jumuiya ya Darul Hidaya al Islamiyya.
2012 Jul 07 , 23:01
Wanachama wa makanisa matatu ya jimbo la Minnesota huko Marekani wamechukua uamuzi wa kuitisha mkotano kesho Jumapili kwa shabaha ya kupambana na propaganda chafu dhidi ya Uislamu zinazofanywa na Baraza la Mji St. Anthony.
2012 Jul 07 , 20:57
Habari kutoka Iraq zinasema kuwa zaidi ya watu 40 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kwenye milipuko ya mabomu katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo.
2012 Jul 03 , 20:06
Maulamaa na wasomi wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia jana Jumapili walishiriki katika kongamano la Qur'ani na Ahlul Bait (as) ambako walichunguza mwamko wa Kiislamu na hali ya sasa ya Mashia.
2012 Jul 02 , 18:59
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Najaf:
Imam wa Sala ya Ijumaa katika mji mtakatifu wa Najaf nchini Iraq amesema kuwa utawala wa Aal Saud huko Saudi Arabia ni utawala fasidi na ulioanzishwa kwa msingi wa kushirikiana na Israel na kuendeshwa kwa msingi wa ukabila.
2012 Jul 01 , 09:01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei mapema leo (Jumatano 27 Juni) amehutubia mkutano wa maafisa wa Vyombo vya Sheria hapa nchini akisema kuwa kuboresha kazi za chombo hicho kwa lengo la kutekeleza uadilifu katika jamii ndio lengo muhimu zaidi.
2012 Jun 27 , 21:53
Tuko katika siku adhimu na zilizojaa baraka za mwezi wa Shaaban. Siku ya tano ya mwezi huu inasadifiana na uzawa wa ‘Ali ibn Al-Hussein AS ambaye anajulikana kama Zayn al-‘Ābidīn au mbora wa wanaoabudu.
2012 Jun 25 , 11:58
Sarah Flanders ambaye ni miongoni mwa wakurugenzi wa kituo cha kimataifa cha kupinga vita na ubepari cha The International Action Center (IAC) anaamini kwamba Marekani ndiyo mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.
2012 Jun 20 , 19:29
Askari mmoja wa zamani wa Israel ametangaza kuwa anataka kutupilia mbali uraia wa Israel na kuhamia katika mojawapo ya kambi za wakimbizi wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi.
2012 Jun 17 , 17:41
Idara ya Kasri ya Ufalme wa Saudi Arabia imetangaza kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo Nayif bin Abdul Aziz amefariki dunia leo mjini Geneva, Uswisi alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu.
2012 Jun 16 , 23:51
Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imetangaza kuwa vyombo vya usalama vimewatia nguvuni watu waliohusika na mauaji ya wanasayansi wa nyuklia hapa mjini Tehran mwaka huu na mwaka 2010.
2012 Jun 16 , 14:45
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran amesema leo kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitofumbia macho haki yake ya kustafidi na teknolojia ya nyuklia kwa malengo ya amani.
2012 Jun 16 , 14:43
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano ameonana na wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na kusema kuwa, bunge linapaswa kuwa na sifa zote za kulifanya kuwa bunge hai katika kazi zake na katika kutekeleza majukumu yake muhimu na ya kimsingi kama ambavyo linapaswa pia kuwa Bunge salama lenye nishati ya hali ya juu katika vipengee mbali mbali vya kisiasa, kimaadili na kifedha.
2012 Jun 14 , 14:40