Mwambata wa Kiutamaduni wa Iran nchini Zimbabwe amesisitiza juu ya nafasi muhimu ya misikiti katika kuimarisha umoja wa Waislamu.
2012 Jul 21 , 14:49
Waziri wa Ulinzi wa Syria Daoud Rajha ameuawa leo katika shambulizi la kigaidi lililolenga jengo la Usalama wa Taifa mjini Damascus.
2012 Jul 18 , 17:38
Chama cha Kiislamu cha al Nahdha nchini Tunisia kimetoa ripoti mwishoni mwa mkutano wake mkuu kikitangaza kuwa kimepasisha sheria ambayo kwa mujibu wake aina yoyote ya kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu na kufanya juhudi za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel vinahesabiwa kuwa ni kosa la jinai.
2012 Jul 18 , 17:38
Kesi ya kuwahukumu baadhi ya vigogo wa serikali iliyong'olewa madarakani ya Libya akiwemo mnadharia wa Kitabu cha Kijani imeanza leo katika mji wa Misrata.
2012 Jul 17 , 21:20
Vita vya Ufaransa dhidi ya vazi la hijabu la wanawake wa Kiislamu vimezidisha kiwango cha jinai zinazofanywa kwa sababu ya chuki dhidi ya Waislamu nchini humo.
2012 Jul 15 , 12:08
Serikali ya Myanmar inawakandamiza Waislamu waliowachache wa kabila la Rohingya na sasa ambao wametimuliwa kutoka eneo lao la jadi.
2012 Jul 14 , 11:18
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri ametoa taarifa na kusisitiza kuhusu udharura wa kutimika sheria za Kiislamu kama msingi wa katiba mpya ya Misri.
2012 Jul 12 , 17:34
Muswada wa kuondoa marufuku ya vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu hijabu umewasilishwa katika Bunge la Uturuki kwa juhudi za chama cha Uadilifu na Ustawi.
2012 Jul 10 , 19:22
Matokeo ya sensa mpya iliyofanyika huko Marekani yameonesha kuwa dini ya Uislamu ndiyo dini inayostawi kwa kasi zaidi katika mji wa San Diego ambao na wa pili kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya watu katika jimbo la California.
2012 Jul 10 , 19:22
Makundi ya wanaharakati wa madhehebu ya Kiislamu ya Shia na wale wa masuala ya kisiasa wameandamana leo mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London, Uingereza wakipinga hatua ya utawala wa kifalme wa Riyadh ya kumtia nguvuni Sheikh Ayatullah Baqir Nemr al-Nemr.
2012 Jul 10 , 19:20
Matokeo ya kura zilizokwisha hesabiwa za uchaguzi wa Bunge la Taifa la Libya yanaonesha kuwa kundi la wanaharakati wa Kiislamu linaloongozwa na Mustafa Abdul Jalil na chama kipya cha Muhammad Balhaj vinachuana vikali kwa ajili ya kupata viti vingi zaidi vya bunge.
2012 Jul 10 , 17:44
Shirikisho la Soka Ufaransa limetangaza kuwa halitaruhusu wanawake Waislamu wachezao soka kuvaa hijabu, hatua amabyo ni ukiukwaji wa wazi wa amri ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA iliyoamuru kuwa wanawake waruhusiwe kuvaa hijabu katika michezo ya kimataifa.
2012 Jul 08 , 11:51
Kongamano la kumuenzi mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sayyid Muhammad Hussein Fadhlullah ambaye alikuwa miongoni mwa maraji wakubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia limepangwa kufanyika kesho mjini Karach, Pakistan chini ya usimamizi wa jumuiya ya Darul Hidaya al Islamiyya.
2012 Jul 07 , 23:01