Kitengo cha wanawake katika Taasisi ya Kuhifadhi Qur’ani mjini Jeddah Saudi Arabia kimetangaza kwamba kitaanda kozi ya kuhifadhi Qur’ani maalumu kwa wanawake.
2011 Jul 09 , 10:24
Mjumuiko wa Mafundisho ya Qur'ani na Hadithi wenye anwani ya 'Insaiklopidia ya Qur'ani na Haditi' itazinduliwa mapema mwezi Oktoba nchini Iran.
2011 Jul 06 , 22:31
Chuo Kikuu cha Al Azhar kimeafiki kufungua kituo cha kutarjumi vitabu vya Kiislamu kutoka lugha ya Kiarabu kwa lugha nyinginezo.
2011 Jul 06 , 22:29
Taasisi ya Al Abduli ya Kuhifadhisha Qur'ani imeanzishwa kwa lengo la kustawisha ufundishaji Qur'ani Tukufu huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2011 Jul 06 , 22:25
Kwa msaada ya Wizara ya Elimu ya Juu ya Saudia, Taasisi ya Utafiti wa Qur'ani ya Noor imefunguliwa katika Chuo Kikuu cha Taybah katika Mji wa Madina.
2011 Jul 06 , 22:22
Jaji wa mashindano ya Qur'ani wa Malaysia:
Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamepata umashuhuri mkubwa zaidi kuliko mashindano kama hayo yanayofanyika katika nchi za Saudi Arabia na Malaysia ambayo ni miongoni mwa mashindano makubwa zaidi ya Qur'ani duniani.
2011 Jul 06 , 19:20
Mashindano ya kitaifa ya hifdhi ya Qur'ani na Hadithi yatafanyika tarehe 17 Julai katika visiwa vya Comoro kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Masuala ya Kheri ya Sheikh Thani bin Abdullah (RAF) ya Qatar.
2011 Jul 06 , 18:18
Kamati ya Majaji wa Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur'ani mjini Tehran ilikuwa na wataalamu maarufu kutoka nchi mbalimbali na imefanikiwa mno katika kazi zake.
2011 Jul 05 , 19:17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa kupuuza uwezo wa Qur'ani Tukufu wa kuwaunganisha pamoja Waislamu ni mghafala mkubwa wa mataifa ya Kiislamu.
2011 Jul 05 , 16:52
Wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika vitengo vya hifdhi ya tajwidi wamechukua nafasi za kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyowashirikisha watu 96 kutoka nchini 61 duniani.
2011 Jul 05 , 15:33
Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya India yameanza Julai 4 katika Kituo cha Kiutamaduni cha Sunni katika mji wa Kolkata.
2011 Jul 04 , 17:35
Shirika la Ushirikiano wa Kiislamu OIC limetakiwa kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani.
2011 Jul 04 , 17:33
Waziri wa Usalama wa Iran amesema kuwa vijana wana nafasi muhimu katika mwamko wa Kiislamu ambao umekita mizizi katika nchi za Kiislamu.
2011 Jul 04 , 17:31