Mafunzo maalumu ya tabia za Qur'ani Tukufu yatatolewa hivi karibuni kwa madereva wote wa Shirika la Taksi la Dubai (DTC) na Idara ya Usafiri wa Mikoani (RTA).
2012 Jun 12 , 17:22
Wizara ya Masuala ya Kiislamu na Wakfu nchini Saudi Arabia imeandaa semina ya kimataifa kuhusu uchapishaji wa Qur'ani mjini Madina.
2012 Jun 12 , 17:16
Mkuu wa Shirika la Awqaf la Iran amesema wawakilishi wa nchi 65 kutoka nchi za Waislamu na zisizokuwa za Waislamu watashiriki katika awamu ya 29 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani mjini Tehran.
2012 Jun 12 , 17:02
Maqarii mashuhuri wa Misri Dr. Ahmed Ahmed Noaina na Ali Mahmoud Shamis wanatazamiwa kuwasili katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki ijayo.
2012 Jun 12 , 17:00
Madereva wa taxi mjini Dubai nchini Imarati watapewa mafunzo ya Qur'ani kwa lengo la kuboresha maadili yao.
2012 Jun 11 , 18:57
Kongamano la kimataifa la uchapishaji Qur'ani Tukufu limepangwa kufanyika hivi karibuni katika mji mtakatifu wa Madina nchini Saudi Arabia.
2012 Jun 11 , 18:55
Muungano wa wachapishaji vitabu nchini Misri katika kikao chao cha pamoja na Sheikh wa al-Azhar umekubali pendekezo la kubuniwa kamati itakayoainisha sheria za uchapishaji na uenezaji Qur'ani Tukufu nchini humo.
2012 Jun 11 , 18:54
Masomo ya muda mfupi ya kiraa, hifdhi na tafsiri ya Qur'ani Tukufu yametolewa kwa Waislamu wapya katika Kituo cha Darul Birr katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2012 Jun 10 , 18:23
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kiislamu cha Islamabad nchini Pakistan kina mpango wa kuandaa kongamano la kimataifa la tarjumi ya Qur'ani Tukufu.
2012 Jun 09 , 18:05
Wanawake wa Saudi Arabia watashiriki kwa mara ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ambayo yamepangwa kufanyika hivi karibuni nchini Jordan.
2012 Jun 09 , 18:04
Duru ya 55 ya mashindano ya kitaifa ya kiraa ya Qur'ani Tukufu yalianza hapo jana Jumatatu katika mji wa Johore Bahru katika jimbo la Johor nchini Malaysia.
2012 Jun 05 , 18:03
Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran yatafanyika katika ukumbi mkubwa wa Mnara wa Milad mjini Tehran.
2012 Jun 02 , 15:22
Washindi wa mashindano ya kitaifa ya hifdhi ya Qur'ani ya nchini Jordan yaliyopewa jina la Sheikh Abdallah Ali al-Matu walienziwa na kupongezwa katika sherehe maalumu iliyofanyika hapo jana Jumatatu katika mji mkuu wa nchi hiyo Amman.
2012 May 29 , 17:15