Hafidh wa Qur'ani kutoka Mombasa Kenya Abdulqadir Yusuf aliyeshiriki Mashidano ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Iran amesema kile ambacho kimemuathiri ni namna watu wa Iran wanavyoiheshimu sana Qur’ani Tukufu.
2012 Jun 27 , 16:12
Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Tanzania aliyeshiriki katika Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran amesema mashindano haya ndio makubwa zaidi duniani.
2012 Jun 27 , 16:04
Waandaaji wa duru ya pili ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iraq yaliyopewa jina la Nusratul Qur'ani wamesema mashindano hayo yataanza katika mji mkuu wa nchi hiyo hapo leo Jumatano.
2012 Jun 27 , 15:57
Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanayoandaliwa mjini Tehran ni moja ya matukio muhimu ya Qur'ani duniani.
2012 Jun 27 , 15:55
Hifdhi ya Qur'ani inapaswa kuambatana na kutafakari katika aya za kitabu hicho na kutumia mafundisho yake kwa kadiri kwamba aya za Qur'ani zionekane katika maisha ya maqarii na mahufadhi wa kitabu hicho.
2012 Jun 25 , 21:26
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei mapema leo (Jumapili) ameonana na maustadh, maqarii na mahafidh bingwa walioshiriki kwenye Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaliyomalizika mjini Tehran juzi Ijumaa.
2012 Jun 25 , 00:26
Kongamano la kutafakari na kutaamali Qur'ani Tukufu limefanyika katika mji wa Bareli katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India.
2012 Jun 23 , 14:38
Masomo ya tiba ya Qur’ani na Kiislamu yanafunzwa kinadharia na kivitendo katika vyuo vikuu vya tiba vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinavyosimamiwa na Wizara ya Afya na Elimu ya Tiba.
2012 Jun 23 , 14:36
Msafara wa kwanza wa wanaharakati wa Qur'ani wa Iran ameutembelea msikiti wa Mashia mjini Madina.
2012 Jun 23 , 14:31
Toleo la 21 la jarida la Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Mali linaloitwa Sakina-Ashura lilichapishwa siku ya Alkhamisi.
2012 Jun 23 , 14:28
Qasem Moqadami na Hussein Mo’tamedi wote kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamechukua nafasi za kwanza katika vitengo vya hifdhi na qiraa katika Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran.
2012 Jun 23 , 12:17
Mwakilishi wa Lebanon katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran:
Mbinu zinazotumiwa katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran na mapokezi makubwa wanayopewa washindani vinapunguza woga na hofu yao na mimi ambaye ninashiriki kwa mara ya kwanza katika mashindano ya kimataifa sijakabiliwa na mashinikizo yoyote kutokana na mapokezi mazuri ya watayarisha wa mashidnano haya.
2012 Jun 20 , 18:05
Taasisi ya Minhaj al-Qur'an ya Pakistan imepanga kuendesha mafunzo ya Qur'ani Tukufu katika maeneo 500 ya nchi hiyo maalumu kwa ajili ya mieizi mitukufu ya Shaaban na Ramadhani.
2012 Jun 20 , 17:26