Mahafali ya kimataifa ya kufarijika na Qur'ani Tukufu imefanyika hivi karibuni katika Haram ya Imam Hussein (as).
2012 Jul 03 , 17:32
Masomo ya muda mfupi ya Qur'ani Tukufu yamepangwa kutolewa katika mtaa wa Edmonton nchini Uingereza kwa kipindi cha siku nne katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2012 Jul 03 , 17:31
Duru ya 20 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya al-Azhar imepangwa kufanyika tarehe 18 hadi 25 za mwezi mtukufu wa Ramadhani yaani tarehe 7 hadi 15 Agosti mjini Cairo Misri.
2012 Jul 02 , 18:51
Mahafali ya kufarijika na Qur'ani Tukufu yamefanyika katika mkoa wa Antalya nchini Uturuki.
2012 Jul 02 , 13:12
Kongamano la Baraza la Mamufti wa Russia limepangwa kufanyika tarehe 25 Agosti katika mji mkuu wa nchi hiyo Moscow.
2012 Jul 02 , 13:09
Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Al Azhar Misri ya vijana walio chini ya umri wa miaka 25 yataanza 19 hadi 26 Ramadan 1433 (7-14 Agosti 2012).
2012 Jul 02 , 13:08
Fatuma Swaghir binti wa miaka 6 kutoka mji wa Lucknow katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani nzima.
2012 Jul 02 , 13:07
Wanaharakati na taasisi bora zilizojishughulisha na masuala ya Qur'ani Tukufu katika mwaka uliopita wa 2011 nchini Bahrain wamepongezwa.
2012 Jun 30 , 17:33
Karii na hafidhi wa Qur'ani Tukufu kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshinda mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la Nusratul Qur'an nchini Iraq.
2012 Jun 30 , 17:21
Mashindano ya 12 ya taifa ya hifdhi ya Qur'ani ya jumuiya ya Harra ya Algeria yalianza jana Ijumaa 29 Juni mjini Algiers.
2012 Jun 30 , 17:21
Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran amesema awamu ya 20 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran yataanza wiki moja kabla ya kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
2012 Jun 30 , 11:07
Makarii na wasomaji wa Qur'ani wa Iran wamesoma aya za kitabu hicho kandokando ya nyumba tukufu ya Mwenyezi Mungu al Kaaba.
2012 Jun 28 , 13:07
Hafidh wa Qur'ani kutoka Mombasa Kenya Abdulqadir Yusuf aliyeshiriki Mashidano ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Iran amesema kile ambacho kimemuathiri ni namna watu wa Iran wanavyoiheshimu sana Qur’ani Tukufu.
2012 Jun 27 , 16:12