iqna

IQNA

hija
Hija
IQNA - Zaidi ya Wairani 83,000 wataelekea Saudi Arabia kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478723    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23

Umrah 1445
IQNA - Afisa wa Hijja wa Iran amelitaka kundi la kwanza la Wairani walioelekea Saudia kwa ajili ya Hija ndogo ya Umra kuwakumbuka Wapalestina hasa wa Gaza katika dua wakiwa aktika ardhi takatifu.
Habari ID: 3478718    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Hija na Umrah
IQNA – Serikali ya Saudi Arabia imefafanua masharti ya viza ya Umra, ikibainisha kuwa wote wanaoshiriki katika ibada ya Hija ndogo ya Umra wanapaswa kuondoka nchini humo huo kufikia Juni 6.
Habari ID: 3478705    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/20

Hija na Umrah
IQNA – Kikao cha kwanza cha Jukwaa la Hija na Umrah kimepangwa kuanza Jumatatu ijayo, Aprili 22, katika mji mtakatifu wa Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3478698    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/18

Hija 1445
IQNA - Usajili umefunguliwa kwa raia wa Saudi au wakaazi nchini walio tayari kushiriki katika ibada ya Hija ya mwaka 1445 Hijria/ 2024.
Habari ID: 3478344    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/13

Turathi
IQNA - Mradi wa ensaiklopidia unatekelezwa ili kuweka kumbukumbu za historia ya Hija na Misikiti Miwili Mitukufu (Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume huko Madina) kutoka enzi ya kabla ya Uislamu hadi leo.
Habari ID: 3478292    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Hija 1445
IQNA - Saudi Arabia imeanza kupokea maombi kutoka kwa mahujaji wa kigeni wanaotaka kuhiji 2024, hija ya kila mwaka ya Kiislamu kwenda Mecca.
Habari ID: 3478096    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/26

Hija Katika Uislamu / 6
TEHRAN (IQNA) – Kuna maelezo ya Hija yaliyotajwa katika maandiko ya kidini ambayo hayatumiki kwa nadra sana kwa ibada nyinginezo na hii inaonyesha umuhimu wa Hija.
Habari ID: 3477922    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21

Hija katika Uislamu/5
TEHRAN (IQNA) – Lengo kuu katika Hija lazima liwe kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu na katika safari hii, kadiri tunavyojiepusha na mapambano, kujifaragua na anasa, ndivyo tutakavyokaribia ukamilifu.
Habari ID: 3477912    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/19

Hija katika Uislamu /4
TEHRAN (IQNA) – Hija ni safari ya upendo, ni safari ya mapenzi ya mwanadamu kwa Mwenyezi Mungu. Hii ndio sababu waja wengi wema wa Mwenyezi Mungu hupendelea kuenda kwa miguu hadi katika mji mtakatifu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3477844    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/05

TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu amewaalika watu kuhiji na kuwabariki mahujaji fursa ya kuitembelea nyumba yake.
Habari ID: 3477747    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

Hija 1444
MAKKA (IQNA) – Cheti cha kifahari cha Hija kinaweza kutolewa kwa njia ya intaneti kwa wale wote walioshiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu wa 1444 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3477259    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/09

Mpakistani amekaidi changamoto za kimwili na yuko tayari kuhiji, safari ya kwenda Makka ambayo ni wajibu kwa Waislamu ambao wana uwezo wa kimwili na kifedha kufanya hivyo.
Habari ID: 3477192    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/25

Mahujaji wanaotaka kupiga picha au video kwenye Misikiti Miwili Mitukufu, Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume Muhamad (s.a.w.w) huko mjini Madina, wakati wa Hija lazima wafuate seti mpya ya miongozo iliyotolewa na Wizara ya Hija na Umrah ya Saudi.
Habari ID: 3477176    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/21

Hija mwaka 1444
Maeneo matakatifu nchini Saudi Arabia yanatayarishwa kupokea Waislamu wanaotekeleza ibada ya Hija kutoka kila kona ya dunia.
Habari ID: 3477125    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09

Ibada ya Hija 1444
Makka,, mji mtakatifu zaidi katika Uislamu, unaendelea kukaribisha Waislamu wanaofika katika mji huo kwa ajili ya ibada ya kila mwaka ya Hija.
Habari ID: 3477111    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/06

Ibada ya Hija 1444
TEHRAN (IQNA) – Hija, ni ibada ya kila mwaka ya dini ya Kiislamu katika mji mtakatifu wa Makka, inakaribia kutufikia, na safari ya kiroho pia inahusisha maandalizi mazuri ya matibabu kwa uzoefu wa kufurahisha.
Habari ID: 3477102    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05

Hija 1444
TEHRAN (IQNA) – Mazoezi ya usalama wa mtandao wa intaneti kwa ajili ya ibada ya Hija ya mwezi ujao yamefanyika nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3477082    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02

Hija 1444 H
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetoa taarifa ya miongozo jumla kwa Mahujaji wa mwaka huu wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu kwa lengo la kurahisisha ibada hiyo.
Habari ID: 3477054    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/27

Hija
TEHRAN (IQNA) - Iran itaanza kupeleka mahujaji wa Hijja nchini Saudi Arabia siku ya Jumatano, Mei 24, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3477022    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/20