Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kuondolewa vikwazo ni sehemu ya mazungumzo ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1.
2015 Mar 22 , 06:49
Watu wasiopungua 137 wameuawa shahidi na wengine karibu 400 kujeruhiwa kufuatia hujuma za mabomu ndani ya misikiti miwili iliyokuwa imejaa waumini wakati wa sala ya Ijumaa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
2015 Mar 20 , 19:27
Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria ameahidi kuwa magaidi wa kundi la Kitakfiri la Boko Haram wataangamizwa katika kipindi cha mwezi moja ujao.
2015 Mar 20 , 19:25
Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi kuhusu hali waliyo nayo Waislamu wa kabila la Rohingya wa huko Myanmar.
2015 Mar 17 , 16:49
Askari wa Bahrain wamewashambulia wananchi waliokuwa wakiandamana kwa amani kwa mnasaba wa kumbukumbu ya uingiliaji wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Bahrain, wananchi wa Bahrain wamejitokeza mitaani kulalamika na kupinga kuwepo vikosi vamizi vya Saudi Arabia katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
2015 Mar 17 , 16:46
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani kila mara unapokaribia muda ulioainishwa kwa ajili ya kumalizika mazungumzo, huwa kikwazo cha kukwamisha suala hilo na kwamba wanafanya hivyo ili kufikia malengo yao kupitia hila hizo.
2015 Mar 13 , 06:21
Kinara wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria, ametangaza muungano wa kundi hilo na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh (ISIL).
2015 Mar 09 , 17:09
Magaidi wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewaua kwa umati wakaazi wa mji wa Gwoza waliokuwa wamekusanyika kusoma Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Nigeria.
2015 Mar 08 , 05:49
Kundi la kigaidi na kitakfiri linalojiita Daesh (ISIL) limebomoa msikiti mwingine wa kihistoria katika mji wa Mosul nchini Iraq.
2015 Mar 08 , 05:33
Kundi la wanamgambo wa kitakfiri la Boko Haram lenye makao yake nchini Nigeria hivi sasa linaiga mbinu sawa na zile zinazotumiwa na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh (ISIL) nchini Syria.
2015 Mar 05 , 14:10
Rais Bashar al-Assad wa Syria amekosoa vikali hatua ya Uturuki ya kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kitakfiri na kubainisha kwamba, Rais wa nchi hiyo Raccep Tayyip Erdogan anayaunga mkono makundi ya kitakfiri kwa ajili ya kuhudumia mabwana zake.
2015 Mar 05 , 14:05
Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wameandaa hafla kadhaa kwa mnasaba wa wiki ya kupinga ubaguzi unaotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
2015 Mar 03 , 21:54
Wanamgambo wa makundi ya kigaidi yanayofanya mauaji nchini Syria kwa madai ya kupambana na serikali ya Rais Bashar al Assad, wanapata himaya ya Marekani na Utawala haramu wa Israel.
2015 Mar 02 , 15:55