Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema sera za hekima za viongozi wa nchi za Mashariki ya Kati ni jambo litakalodhamini maslahi ya mataifa ya eneo.
2014 Feb 09 , 11:23
Khatibu wa Salaya Ijumaa Tehran:
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema serikali ya Marekani imekuwa ikitoa vitisho kuwa itaishambulia Iran kijeshi lakini lililowazi ni kuwa watawala wa Washington hawathubutu kuishambulia Iran kijeshi.
2014 Feb 08 , 11:35
Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza unyama wao,
2014 Feb 08 , 11:33
Magaidi wa Kiwahabi au Kitakfiri ambao wanatenda jinai, unyama na kuwauawa watu wasio na hatia kwa jina la dini na kunasibisha vitendo vyao na Mtume Mtukufu SAW, kwa hakika ndio wanaomvunjia heshima kwa kiasi kikubwa zaidi Mtume Mtukufu wa Uislamu SAW.
2014 Feb 05 , 09:42
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran, Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami ametoa onyo kali kwa Rais Obama Marekani na kusema kuwa Marekani itathubutu kuishambulia Iran basi watajuta kosa lao hilo.
2014 Feb 02 , 10:59
Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain umeanzisha wimbi jipya la kukabiliana na fikra huru, nara za kidini, harakati za jumuiya na taasisi huru za kidini nchini humo sanjari na vyombo vya sheria kutoa amri ya kuvunjwa Baraza la Maulamaa la nchi hiyo. Mahakama ya Bahrain siku ya Jumatano ilitoa amri ya kuvunjwa na kutaifishwa mali zote za baraza hilo.
2014 Feb 02 , 10:54
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Nigeria wameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hijab na kutangaza kufungamana kwao na Waislamu kote duniani katika kutetea haki ya wanawake Waislamu kuwa na uhuru wa kuvaa Hijabu.
2014 Feb 02 , 09:20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zina uwezo mkubwa unaoweza kusaidia kuimarishwa zaidi mashirikiano ya pande mbil
2014 Feb 01 , 12:27
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii haitaki chochote isipokuwa haki zake za nishati ya nyuklia kwa mujibu wa Mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia NPT.
2014 Jan 29 , 09:13
Sheikh Muhammad Rashid Qabbani Mufti wa Lebanon amesema kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinazusha fitina katika nchi za Kiarabu ikiwemo Lebanon na kuongeza kwamba fitina hizo ni sehemu ya Mpango wa Mashariki ya Kati Mpya lakini mpango huo hautafaulu.
2014 Jan 29 , 09:03
Waziri wa zamani wa Afya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambaye alikuwa muumini wa dini ya Kiislamu, siku ya Ijumaa alishambuliwa na wanamgambo wa Kikristo wa Anti Balaka, kwa kumkatakata kwa mapanga na mundu hadi kufariki dunia.
2014 Jan 26 , 12:29
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Navy Pillay ametaka kufanyike uchunguzi kamili wa mauaji hayo na kuhakikisha kwamba uadilifu unatendeka.
2014 Jan 26 , 12:17
Kongamano la 27 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu, limehitimisha shughuli zake kwa kutolewa mada kuu 20. .
2014 Jan 21 , 13:51