Tarjumi mpya za Qur'ani Tukufu kwa lugha mbalimbali zimearifishwa na taarisisi ya Tarjumane Wahy katika Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoendelea hapa mjini Tehran.
2011 Jul 31 , 17:35
Historia ya uchapishaji wa nakala za kwanza za Qur'ani na tarjumi ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya inaonyeshwa kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani mjini Tehran.
2011 Jul 31 , 10:57
Kongamano la kwanza la kitaifa la Qur’ani Tukufu limeanza leo Jumamosi katika mji wa Nasiriyya mkoani Dhiqar nchini Iraq chini ya usimamizi wa Kamati Kuu ya Kudumu ya Qur’ani Tukufu ya Baraza la Mawaziri la Iraq.
2011 Jul 30 , 23:50
Mafunzo maalumu ya makarii wa Qur’ani wa eneo la mashariki mwa Saudi Arabia yameanza leo Jumamosi na yataendelea hadi mwishoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Jul 30 , 23:49
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Qur'ani Tukufu ni mwongozo wa mwanadamu kwa ajili ya kufikia kilele cha ukamilifu.
2011 Jul 29 , 11:42
Maonyesha ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu kufunguliwa kesho Alkhamisi tarehe 27 Julai hapa mjini Tehran chini ya kaulimbiu "Qur'ani, Kitabu cha Mwamko."
2011 Jul 28 , 14:28
Naibu Waziri wa Wakfu ya Masuala ya Kidini wa Algeria Edah Falahi amesema nchi 50 za Kiislamu zimetangaza kuwa ziko tayari kushiriki katika Mashindano ya 8 ya Qur'ani ya Kimataifa yatakayofanyika nchini humo.
2011 Jul 27 , 14:36
Kamati Kuu ya Baraza la Serikali ya Misri imemnyang'anya mwandishi wa nchi hiyo aliyevunjia heshima Qur'ani Tukufu tuzo maalumu ya mtaalamu bingwa wa masuala ya jamii aliyokuwa amepewa na serikali iliyong'olewa madarakani ya Hosni Mubarak.
2011 Jul 26 , 13:55
Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yajulikanayo kama 'Zawadi ya Al Fujairah ya Qur'ani Tukufu' yatafanyika mjini Fujairah katika Umoja wa Falme za Kiarabu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Jul 25 , 18:38
Vikao vya kiraa ya Qur'ani Tukufu vitafanyika katika msikiti mpya wa Strasbourg nchini Ufaransa.
2011 Jul 25 , 09:22
Mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu ya wanafunzi wa vyuo vikuu yalifanyika juzi katika Msikiti wa Tauhidi katika eneo la Buyenzi mjini Bujumbura yakiwashirikisha wanawake na wanaume.
2011 Jul 25 , 09:20
Mashindano ya 53 ya Qur’ani ya Kimataifa ya Malaysia yanamalizika leo katika Kituo cha Kimataifa cha Putra mjini Kuala Lumpur.
2011 Jul 23 , 10:46
Mwenyekiti wa Kamati inayoandaa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai Ibrahim Muhammad Bumalha amesema kuwa nchi 82 zimethitisha kwamba zitashiriki katika mashindano hayo.
2011 Jul 20 , 21:04