Kongamano la nane la kimataifa la Qur'ani Tukufu litafanyika mjini London, Uingereza chini ya usimamizi wa Kitivo cha Utafiti wa Masuala ya Mashariki na Afrika (SOAS).
2013 Mar 30 , 17:09
Harakati ya Hirakul Aimma ya Jordan imelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani katika Chuo Kikuu cha Aalul Bait katika mkoa wa Mafraq.
2013 Mar 25 , 19:24
Awamu ya kwanza ya mashindano ya 16 ya kitaifa ya Qur'ani nchini Kuwait imemalizika.
2013 Mar 25 , 19:23
Wanawake wa Palestina waliandamana jana ndani ya Msikiti wa al Aqsa wakilaani kitendo cha askari wa utawala ghasibu wa Israel cha kuvunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
2013 Mar 16 , 21:44
Duru ya kwanza ya mashindano ya kimataifa ya hifdhi na kiraa ya Qur’ani imeendelea huko Sulaimaniya katika eneo la Kurdistan huko kaskazini mwa Iraq.
2013 Mar 13 , 18:54
Duru ya nne ya mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Kuwait itaanza tarehe 3 Aprili ikiwashirikisha wawakilishi wa nchi 50.
2013 Mar 13 , 18:54
Wafungwa wanaoshikiliwa katika jela ya kutisha ya Marekani huko Guantanamo nchini Cuba wameanza mgomo wa kula wakipinga kitendo cha askari wa Marekani cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu.
2013 Mar 12 , 10:34
Maelfu ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina waliandamana jana katika mitaa ya mji huo wakilaani kitendo cha askari wa utawala ghasibu wa Israel cha kuvunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
2013 Mar 09 , 20:52
Warsha ya kuboresha mafundisho ya Qur'ani imepangwa kufanyika tarehe 28 Machi katika mji wa Rosemont katika jimbo la Illinois nchini Marekani.
2013 Mar 02 , 22:21
Mashindano ya 7 ya kimataifa ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu maskhsusi kwa ajili ya wanajeshi yameanza leo nchini Saudi Arabia katika mji wa Riyadh.
2013 Feb 23 , 18:09
Gavana wa jimbo la Zamfara nchini Nigeria ametangaza azma ya jimbo hilo ya kuanzisha kituo cha usomaji Qur'ani.
2013 Feb 05 , 09:40
Maafisa wa serikali ya Uturuki wametangaza kuwa wamegundua nakala kadhaa za kale za kitabu kitakatifu cha Qur'ani zilizoandikwa kwa hati za mkono katika msikiti mmoja ulioko katika mji wa Qaunia katika jimbo la Anatoly.
2013 Jan 30 , 22:31
Wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshika nafasi za kwanza katika vitengo vitatu vya Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Majeshi ya Nchi za Kiislamu yaliyofanyika mjini Tehran.
2013 Jan 25 , 18:33