Baraza Kuu la Vyombo vya Habari Tunisia limefunga televisheni na radio kadhaa za Kiislamu nchini humo kwa tuhuma kuwa hazina vibali.
2015 Jul 21 , 18:45
Idara ya kuchunguza chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika Baraza Kuu la Waislamu Ufaransa imeonya kuhusu ongezeko la kasi la hujuma za chuki dhidi ya Uislamu na vitisho dhidi ya Waislamu nchini humo katika kipindi cha miezi sita iliyopita.
2015 Jul 21 , 16:49
Mufti wa Tunisia Sheikh Hamda Saeed amewaomba radhi Watunisia baada ya kubaini kuwa alifanya kosa kwa kutangaza mapema siku kuu ya Idul Ftir.
2015 Jul 20 , 12:33
Kamati ya kuutafuta mwezi mwandamo katika Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza kuwa, Siku kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa kesho Jumamosi nchini Iran na kwa msingi huo Ijumaa ya leo ni siku ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini.
2015 Jul 17 , 12:12
Taasisi ya juu zaidi ya Waislamu Nigeria, Jama'atu Nasril Islam, JNI, imetangaza kupinga vikali takwa la kupigwa marufuku hijabu nchini humo baada ya baadhi ya magaidi kutumia vazi hilo la stara la kufunika mabomu wanayosheheni mwilini.
2015 Jul 16 , 15:43
Baraza la Kizayuni la mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu limepitisha mpango wa kuyavunjia heshima na kuyabomoa makaburi ya Waislamu katika mji huo.
2015 Jul 15 , 15:02
Waislamu katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa wamemiminika kwa wingi misikitini katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kiasi kwamba baadhi ya barabara zinafungwa kutoa nafasi ziada kwa wanaoswali.
2015 Jul 07 , 18:02
Waislamu wa madhehebu ya Shia na wenzao wa Ahlu Sunnah, wamesali pamoja katika moja ya misikiti ya mkoa wa Qatif, mashariki mwa Saudia.
2015 Jul 07 , 01:46
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kasi kubwa ya kielimu iliyopo nchini Iran haipaswi kuachiwa kupungua kwa njia na sababu yoyote ile.
2015 Jul 05 , 15:25
Wazazi Waislamu nchini Kenya wamekosoa kitendo cha uongozi wa shule mbili cha kuwalazimisha wanafunzi wa Kiislamu kuingia makanisani kwa ibada.
2015 Jul 02 , 20:46
Kundi moja la Waislamu wa China wameituhumu serikali ya nchi hiyo kuwa imeanzisha vita visivyo rasmi dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
2015 Jul 01 , 19:27
Muungano wa Vijana wa Sudan wamezindua 'Mpango wa Rehema' chini ya anwani ya: "Ramadhani Inatuleta Pamoja".
2015 Jun 25 , 16:55
Waislamu nchini Marekani wamefanya maandamano makubwa kulaani mauaji ya hivi karibuni dhidi ya Wakristo weusi wenye asili ya Afrika ndani ya kanisa moja katika jimbo la Carolina Kusini.
2015 Jun 22 , 23:40