IQNA

Msikiti wa Kihistoria wa Moayer Al Mamaliki mjini Tehran

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Moayer Al Mamalik ni moja kati ya misikiti ya kihistoria katikati ya mji wa Tehran na ulijengwa katika zama za wafalma wa silsila ya Qajar katika muongo wa 1860 Miladia.
Msikiti huu unakubwa zaidi la tofali mjini Tehran na pembizoni mwake kuna chuo cha mafunzo za kidini au Hauza.

.