Haya ni kwa mujibu wa Mar Narsai Benjamin, Askofu wa Kanisa la Asyria nchini Iran wakati alipohutubu katika kongamano la Kimataifa la 'Imam Khomeini na Ulimwengu wa Kisasa' lililofanyika Tehran Juni 3.
Kongamano hilo lilifanyika katika Haram Takatifu ya Imam Khomeini MA kusini mwa Tehran.
Amesema Imam Khomeini alikuwa anapenda na watu wote na alikuwa ni muokozi aliyetumwa na Mwenyezi Mungu kulikomboa taifa la Iran.