IQNA

Wapalestina washiriki Swala ya Idul Fitr msikitini Al Aqsa

Wapalestina karibu laki moja wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr Alkhamisi asubuhi katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) licha ya sheria kali zilizowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel ambao siku chache zilizopita wanajeshi wa utawala huo katili waliwashambulia kwa mabomu Waislamu waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti huo.
 
 
Kishikizo: aqsa ، msikiti ، sala ya idi